Kutuhusu

Chapa ya Chai Bora ilianza kutumika mwaka 1994 na kufanywa kampuni huru mwaka wa 2006. Chai Bora huchanganya, hupaki, na hutengeneza aina za bidhaa za hali ya juu. Kampuni hii inaumaharufu mkubwa nchini Tanzania ikiwa na kiwanda wilayani Mafinga Mkoa wa Iringa. Chai Bora imeweza kupata uongozi katika soko kipitia aina tofauti za chai na kutunukiwa cheti cha kimataifa cha ubora wa bidhaa – ISO 22000:2005. Bidhaa za African Infusion zimehakikiwa na kampuni ya ECOCERT kuwa ni bidhaa za kikaboni. Chai Bora imenunuliwa hivi karibuni na kampuni ya Catalyst Principal Partners ambayo inamaono ya kuunda biashara ya vinywaji inayoongoza nchini Tanzania.

Chai Bora huchangaya, hupaki na huuza aina ya bidhaa zilizo na kiwango cha juu huku ikitoa nafasi za ajira nchini Tanzania na kwa nchi jirani. Chai Bora inaumaharufu nchini Tanzania ikiwa na kiwanda chake wilaya ya Mafinga mkoani Iringa unaojulikana kwa kilimo cha chai nchini Tanzania.

Chai Bora imeweza kupata uongozi katika soko kipitia aina tofauti za chai na kutunukiwa cheti cha kimataifa cha ubora wa bidhaa – ISO 22000:2005. Bidhaa za African Infusion zimehakikiwa na kampuni ya ECOCERT kuwa ni bidhaa zilizokuzwa bila kutumia kemikali

Leo hii Chai Bora ni sehemu ya kampuni ya Catalyst Principal Partners.

Matarajio na Mikakati

Lengo kuu la Chai Bora ni kuchangaya, kupaki na kuuza bidhaa za hali ya juu huku ikitoa nafasi za ajira.

Matarajio Yetu

kuwa na bidhaa za kiwango cha juu zinazopendwa, zilizo na ubunifu, na upatikanaji wa urahisi. Kuwa kampuni iliyo na ufanisi, nguvu na uwajibikaji, huku tukizalisha marejesho endelevu kwa washikadau wetu.

Malengo Yetu

Lengo kuu la Chai Bora ni kuchangaya, kupaki na kuuza bidhaa za hali ya juu huku ikitoa nafasi za ajira.

Maadili ya Msingi

uaminifu, uadilifu, usawa na haki kwa wateja wetu